Walinzi wa makampuni mbalimbali wakiwa kwenye kongamano lao lililofanyika katika ukumbi ya polisi mesi
Baadhi ya viongozi makampuni ya ulinzi ambao pia kulikuwepo na watoa mada
mrakibu wa polisi mkoa wa Arusha Mery Lugola akiwa anaonge na wafanyakazi walinizi wa makapuni binafsi ambapo aliwasisitiza kufuata sheria za kazi yao kama walivyopewa mafunzo