SIKUU KUU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI ZAFANA ARUSHA

 Mkuu wa wilaya ya Arumeru Mercy Sila akiwa anazindua sherehe izi za siku ya uhuru wa vyombo vya habari kwa mkoa wa Arusha ambapo zimefanyika katika ukumbi wa Golden Rose
 Ashura mohamed wa Radio 5 akiwa na mwenzake wakifurahia siku hii ya habari ambayo inaendelea kwa sasa
 wanahabari wanapatwa vinywaji balaa usipime kaka shabani mdoe wa uhuru naye anafurahia siku hii
Kamanda wa polisi mkoani Arusha naye anajumuika nasi wa kati kati


WAKATI dunia ikiadhimisha siku ya uhuru wa habari duiniani,kituo binafsi cha Radio Sunrise cha jijini Arusha kimemwagiwa sifa kwa kurusha matangazo ya moja kwamoja hususani matukio na mgeni rasmi katika maadhimisho hayo,mkuu wa mkoa wa Arusha Magesa Mulongo aliyewakilishwa na mkuu wa wilaya ya Arumeru bi Mecy Silla.

Aliyasema hayo wakati akifungua sherehe za maadhimisho hayo zilizofanyika katika hotel ya Golden Rose Jijini Arusha, ambapo waandishi wa habari na wadau wa habari walihudhulia na kutoa wito kwa vyombo vingine vya habari kuiga mfano huo.

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post