viongozi mbali mbali wa jumuiya ya afrika mashariki akiwemo katibu mkuu
wa jumuiya hiyo balozi charles sezibera na manaibu mawaziri
wanaowakilisha nchi za jumuiya hiyo akiweemo eliya kategaya wa uganda na
nyuma ni wabunge wa tanzania anayeonekana ni Abdallah Mwinyi na
wengineo
wabunge wa bunge la afrika mashariki wakiwa katika kikao cha kawaida cha
bunge hilo jijini Arusha kabla ya kusomwa
kwa bajeti ya jumuiya ya afrika mashariki kikao hocho kilifanyika katika
ukumbi wa bunge hilo uliopo AICC
muonekano wa kikao hicho wakati kikiendelea chini ya uongozi wa spika
wa bunge la afrika mashariki bw.Abdirahin Abdi na wabunge kutoka nchi 5
za jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Arusha
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia