SEREKALIYA LIBIA YAPEWA MSAADA WA ZAIDI YA DOLA 40
Serekali
ya LIBERIA imepokea msaada wa mkopo wa jumla ya dola milioni 46.50
kutoka Benki ya maendeleo ya Africa AFDB ambayo inalenga katika kuingia
mfuko wa kilimo pamoja na uhifadhi wa chakula.
Mkopo
huo ulishuhudiwa na kutiwa saini makubaliano yaliafanyika katika mkutano AFBD
hunaondelea jjijini hapa na kamishina wa tume ya uwekezaji toka nchini
Liberia Natty B. Davis pamoja na kutiwa saini na na makamu wa
Raisi wa sekta ya uwekezaji nchini LIBERIA Kamal Elkeshen.
kamishina
wa tume ya uwekezaji toka nchini Liberia Natty B. Davis pindi baada ya kutia
saini makubaliano hayo amesema kuwa msaada huu wa mkopo kutoka Benki ya
Maendeleo ya Africa ni wa mara ya kwanza kwa nchi yao toka walipoanzisha
ushirikiano na AFDB
Alisema
kuwa anapenda kuiambia sekretariti ya Benki ya Maendeleo ya Africa AFDB kuwa
msaada huo wa mkopo utaisadia serekali ya Liberia katika sera zake ilionazo
za kuwasaidia wananchi wake waishio vijijini.
Katika
mkopo huo uliotolewa na Benki ya Maendeleo Barani Africa wamengia na
makubaliano na Liberia kuweka uhusiano mzuri na wafadhili wa jumuiya za
kimataifa ambapo itaisaidia nchi hiyo kujiondoa na umaskini hasa hasa katika
sekata ya kilimo pamoja na uhifadhi wa chakula
Pamoja
na mkopo huu kulenga kusaidia usalama wa chakula nchini LIBERIA pia msaada
huu umelenga katika sekta ya wakulima wadogo wadogo katika ukulima hadi
uzalishaji hii ikiwa na lengo la kuondoa tatizo la jira sambamba na kuweka
uhahi wa kilimo cha vijijini.
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia