mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki,Joshua
Nassar(26)alimaarufu dogo amejisalimisha polisi hivi leo na kwa habari zilizolifikia Libeneke la kaskazini yupo chini ya ulinzi na anahojiwa kwa taarifa zaidi tutawajuza baada
mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari akiwa na wakili wake Albert Msando wakiingia kwenye makao makuu ya jeshi la polisi kwa ajili ya kujisalimisha
mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari akiwa na wakili wake Albert Msando wakiingia kwenye makao makuu ya jeshi la polisi kwa ajili ya kujisalimisha
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia