MBUNGE WA JIMBO LA UBUNGO ASHINDA KESI




Mbunge wa Jimbo la Ubungo (Chadema),

 John Mnyika ameshinda kesi iliyokuwa inamkabili ya uchaguzi wa jimbo hilo wa mwaka 2010, baada ya Mahakama kutupilia mbali mashitaka yote matano 

yaliyokuwa yakimkabili ambayo ni :

1)Kwamba Mnyika alimtuhumu kuuza nyumba za UWT
2)Kutumia Laptop za Mnyika Kuhesabu kura

 
3)Kuingia watu wengi wa CHADEMA ktk chumba cha kuhesabia kura
4)Kuzidi kwa kura hewa 16,000


5)Kukosewa kwa karatasi za kujumulisha kura (form)

Mlalamikaji Hawa Nghumbi (CCM) anatakiwa kulipa gharama zote za kesi hiyo kama ilivyoamriwa na Mahakama.


About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia