BREAKING NEWS

BREAKING NEWS

KWA TAARIFA TULIZOZIPATA HIVI PUNDE ZINELEZA  KUWA BOTI AINA YA KALAMA ILIYOKUWA IKISAFIRI KUTOKA DAR ES SLAAM KUELEKEA ZANZIBA IMEZAMA NA JUHUDI ZA KUOKOA BADO ZINAENDELE MPAKA SASA HAIJAFAHAMIKA NI WATU WANGAPI WALIOWEZA KUPOTEZA MAISHA GETI LA KUINGILIA BANDARINI LIMEFURIKA BAADHI YA AKINA MAMA WANALIA KWA MACHUNGU. KWA  HABARI ZAIDI NA PICHA YA AJALI HIYO TUTAZIDI KUWAPATIA.

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia