mkurugenzi wa kituo cha karume(KITS) Haji Makame akitoa
salamu za kituo hicho kwenye mahafali ya mafunzo ya awali(BRIGING
COURCE)yaliyofanyka kwenye chuo cha ufundi Arusha kjituo hicho kimeingia
makubaliano ya kubadilishana wanafunzi,walimu na pia kutembeleana
katika kukuza taaluma kama alivyoainisha mkurugenzi huyo
Wauza dawa 550 kwenye maduka ya dawa halmashauri za jiji la Arusha na
wilaya ya Arusha wakisikiliza hutuba katika mahafali yao kwenye chuo
cha ufundi Arusha ambako ndiko walipatiwa mafunzo na vyeti baada ya
kuhitimu mafunzo ya wiki 5 yaliyokuwa yakiendeshwa na mamlaka ya chakula
na dawa(TFDA) na mgeni rasmi alikuwa mkuu wa mkoa wa arusha Magessa
Mulongo
Mkuu wa mkoa wa Arusha Magessa Mulongo akiwahutubia wauza dawa baridi
zaidi ya500 waliohitimu mafunzo ya wiki 5 kwenye chuo cha ufundi Arusha
na kuwataka kuafichua wale wote wanaofanya vitendo viovu katika kuhujumu
fani yao naye atachukua hatua kali dhidi yao.
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia