MAADHIMISHO YA SIKU YA KUMBUKUMU YA MASHUJAA
Rais Dkt. Jakaya Kikwete, akiweka Ngao na Mkuki kwenye Mnara wa Mashujaa, wakati wa
maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya Mashujaa, iliyofanyika kwenye Viwanja vya
Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, leo Julai 25, 2012.
Baadhi ya Vikosi vya ulinzi na usalama vilivyoshiriki kwenye maadhimisho ya siku ya
kumbukumbu ya Mashujaa, iliyofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar
es Salaam, leo Julai 25, 2012.

Rais Dkt. Jakaya Kikwete, akitoa heshima kwenye Mnara wa Mashujaa, wakati wa
maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya Mashujaa, iliyofanyika kwenye Viwanja vya
Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, leo Julai 25, 2012.
Vikosi mbalimbali vya ulinzi
Rais Dkt. Jakaya Kikwete, akisalimiana
na Rais wa Zanzibar Dk Ali Shein katika maadhimisho ya siku ya
kumbukumbu ya Mashujaa, iliyofanyika kwenye
Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, leo Julai 25, 2012.
Sehemu ya wazee waliopigana vita mbalimbali vya ukombozi wa nchi ya Tanzania, waliohudhuria
katika maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya Mashujaa, iliyofanyika kwenye
Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, leo Julai 25, 2012.

0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia