MATUKIO MBALIMBALI ZANZIBAR
Zanzibar jengo la makumbusho
kama kawaida zanzibar wanasifika kwa marashi mbalimbali ya pemba na wanawake wengi wamekuwa wakitumia manukato asili yaani ubani hapa ni likuwa na afisa biashara wa kikundi cha Muvi Fredy Mumbui akiwa pamoja na mmoja wa wanakikundi cha wajasiriamali zanzibara wakiwa tunaangalia kibao kinachotumika kufukiza nguo zao kabla ya kuvaa
Wauza majugwa barabarani
pembezoni mwa bahari
wananchi wakingangana kuingia kwenda kupanda meli wakati usafiri ulipokuwa umezuia mara baada ya kuzama
viongozi mbalimbali waserekali wakibadilishana mawazo mara baada ya ajali ya meli kutokea huko zanzibar
mitaa ya zanzibar
hapa ni sehemu inayosifika sana kwa jina la Forodhani na kwa mtu yeyote ambae anaenda zanzibar lazima usiku afike hapa nilikutana na watu mbalimbali wageni walio kwenda kupata chakuala
Mfanyabishara wa miwa akiwa ana kamua mua akitengeneza juice
kiwanja cha ndege cha zanzibar











0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia