BONANZA LA TASWA ARUSHA KUFANYIKA JUMAPILI
Katibu wa Chama cha mpira wa miguu mkoani Arusha (Taswa) Mussa Juma akizungumza na waandishi wa habari jana kwenye hoteli ya Palace mjini humo juu ya bonanza la waandishi hao lililoandaliwa na kampuni ya MS Unique litakalofanyika kesho jumapili saa 2 asubuhi kwenye viwanja vya General Tyre vilivyopo Themi mjini humo,(kushoto) ni Mratibu wa bonanza hilo,Jamilah Omary na Meneja matukio wa kampuni ya bia nchini TBL wa kanda ya kaskazini,George Mwombeki ambao ndiyo wadhamini wakuu wa bonanza hilo
BONANZA la Chama cha waandishi wa habari za michezo (Taswa) wa mkoa wa
Arusha linatarajia kutimua vumbi jumapili hii kwenye viwanja vya
General Tyre vilivyopo Themi mjini humo.
Mratibu wa Bonanza hilo,Jamilah Omary akizungumza na waandishi wa
habari jana kwenye ukumbi wa Palace Hotel alisema mgeni rasmi wa
bonanza hilo anatarajiwa kuwa mbunge wa viti maalum vijana wa mkoa huo
Catherin Magige.
Jamilah alisema bonanza hilo limeandaliwa na kampuni ya Ms Unique na
linafanyika kwa kipindi cha mwaka wa saba mfululizo likishirikisha
mabingwa watetezi Radio 5,Radio Sun Rise,Triple A,ORS ya Manyara na
Chuo cha uandishi wa habari cha Arusha (AJCT).
Naye,Katibu wa Taswa wa mkoa huo,Mussa Juma alisema bonanza la mwaka
huu limeboreshwa zaidi ambapo bingwa wa michuano hiyo atazawadiwa
sh150,000 mshindi wa pili sh100,000 na timu yenye nidhamu sh50,000.
“Lengo la bonanza hili ni kuwakutanisha waandishi wa habari kwani
michezo ni afya,burudani na kujenga undugu hivyo tunawataka waandishi
wote wafike siku hiyo kwa ajili ya kufanikisha bonanza hili,” alisema
Juma.
Timu zinazoshiriki ni Radio5,Radio Sun Rise,Triple A,ORS Radio ya Simamanjrio Wazee
cluba kampuni ya bia kitambi nowa ya netiboli na chuo cha Arusha
uandishi wa habari cha Arusha.
Wadhamini TBL inawafanya waweze kuandaa tamasha kila mwaka Tanapa
kituo cha mikutano cha AICC,Mamlaka ya hifashi y angonroa NCCIA mfuko
wa jamii ya NSSF Mega Trade wakala wa simu za mkononi Alphatel Palace
Hotel
Mshindi wa kwanza kombe na 150,000 pili 100000 timu yengye nidhamu 50,000
Soka mbio za magunia,kuvuta kamba netiboli kukimbiza kuku mbio za
magunia na taikondo
Kwa upande wake,Meneja matukio wa TBL Kanda ya kaskazini George Mwombeki
meneja matukio wa TBL Kanda ya kaskazini masharini
kuu wa idara ya matukio wa kampuni ya bia TBL
Maandalizi ya mwaka huu yameanza vizuri kuliko mwaka uliopita na
tunatarajia pia mkuu mpya wa wilay aya Arusha,John Mongela na vijana
wa taikondo burudani mbalimbali
Alisema sh25 milioni zimetumika katika kugharamia bonanza hilo la
Taswa la mwaka huukatika mpambano huo tamasha la wanaa
“Waandishi wote wa habari mnatakiwa kuja na familia ze,” alisema Juma.
Mwombeki alisema kampuni yao ina thamini sana waandishi wa habari
ndiyo sabau tunashiriki kudhamini
Natoa wito kwa waandishi wote na wakazi wa mkoa huo kwani kutakuwa na
vinywaji na nyama choma pamoja na burudani tofauti tofauti kwani
kiingilio ni bure hivo wajitokeze kwa wingi.

0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia