KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE MAENDELEO YA JAMII LATEMBELEA RADIO 5 ARUSHA
Wajumbe wa kamati ya kudumu ya bunge maendeleo ya jamii ikiwa katika picha ya pamoja na mkurugenzi wa Radio 5pamoja na baadhi ya wafanyakazi
Kamati ya kudumu ya bunge ikiwa inawasili mjengoni
Mtangazaji wa Radio 5 Deo Nafutal akiwa anawapa maelekezo wajumbe wa kamati hiyo maelezo katika chumba cha kuandalia habari
Mkurugenzi wa Radio 5 Roberty France akiwa anawapa maelezo wajumbe waliotembelea kituo hicho akiwemo Mbunge wa Kondoa Juma Ngamia pamoja na mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari
Wajumbe hao pia waliingia katika studio za radio 5 na kukuta vipindi vikiendelea ambapo mtangazaji Semio Sonyo alikuwa akiendelea na kipindi chake Flash back
Mkurugenzi wa radio 5 akibadilishana mawazo na katibu wa kamati hiyo
kamati ikiwa imeketi katika maongezi
Abubakari liongo nae alikuwepo akijumuika na wabunge hao
Mbunge wa jimbo la nchinga lindi akiwa anaojiwa katika studio za radio 5











0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia