DC HAI AKAGUA JENGO LA UPASUAJI LA HOSPITALI YA WILAYA
Mkuu wa wilaya ya Hai
Novatus Makunga akikagua jengo hilo la upasuaji la hospitalini ya wilaya
ya Hai na kupata maelezo kutoka kwa watendaji wa hospitali
Baadhi ya vifaa vilivyopo katika hospitali hiyo
Sehemu ya jengo hilo
ambalo lina vyumba zaidi ya ishirini vikiwemo vya uangalizi maalumu kwa
ajili ya mgonjwa,dawa ya uzingizi,ofisi,vyoo,mapokezi na kadhalika
Serikali imekamilisha
ujenzi wa jengo la upasuaji cha kisasa zaidi nchini katika hospitali ya
wilaya ya Hai ambapo ujenzi pamoja na vifaa na mashine zilizopo
umegharimu zaidi ya shilingi bilioni moja.Uzinduzi wa jengo hilo
unatarajiwa kufanywa na Rais Jakaya Kikwete atakapokuwa ziarani katika
mkoa wa Kilimanjaro



0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia