WAFANYAKAZI WA RADIO 5 WAJIACHIA KUANGALIA MECHI
Meneja wa kituo cha radio 5 ya jijini Arusha Jimmy Mtemi akiwa na
mashabiki mbali mbali wakifuatilia mechi ya timu ya fainali kati ya
hispania na Italia kwenye club ya La Fiesta iliyopo njiro jijini Arusha
mwishoni mwa wiki meneja huyo aliukuwa anashabikia timu ya Italia hapo
akifuatilia mechi hiyo wakati hispania inaongoza kwa bao mbili kwa nunge
pole Jimmy Mtemi.
mkurugenzi wa kituo cha radio 5 cha jijini Arusha Robert Francis mwenye
kipara akiwa na baadhi ya mashabiki wa kipute cha fainali ya uefa kati
ya Hispania na Italia kwa Italia kubugizwa kwa bao nne kwa nunge yeye
alikuwa anashabikia timu ya Hispania hongera kwa kuchukuwa kombe hiyo
ilikuwa katika club ya usiku ya La Fiesta na kuhudhuriwa na mashabiki
kibao kama unavyoona pichani.
Baadhi ya wafanyakazi wakituo cha radio 5 cha jijini Arusha wakiwa
wamejumuika na mashabiki
kwenye onyesho la mechi ya fainali ya kombe la ulaya katika club ya
usiku ya La Fieta iliyopo njiro kwenye majengo ya PPF mechi hiyo
iliwakutanisha mashabiki wa soka wa jijini hapa na Radio 5 ilitoa kiasi
cha tsh.80,000 kwa mtu aliyeweza kutabiri mechi hiyo.
kila mmoja alikuwa na shauku ya mechi usipime
Mkurugenzi wa kituo cha radio 5 ambaye alikuwa moja wa mashabiki
waliotabiri mechi hiyo alijiyakulia kitita hicho baada ya kusema
Hispania itashinda mechi hiyo kwa jumla ya magoli Manne kwa nunge na
kujinyakulia fedha hizo
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia