wakinamama hawa kwenye soko kuu jijini Arusha wakiwa wamepanga mboga
zao chini bila ya kujali suala la usafi na mazingira wafanyayobiashara
hayakidhi hali ya mlaji kwani nyuma yao kuna maji yaliyokuwa kwenye
vidimbwi yaliyotuwama kama kamera yetu ilivyowakuta
Tunatakiwa kuwakarimu wageni
|
baadhi ya wainjilist kutoka nchi ya Marekani wakipanda gari aina ya
land rover kulekea mirelani kwenda kueneza neno la mungu kama
wakivyokutwa na kamera yetu kwenye mji wa kia wailayani hai
sehemu ya waendesha pikipiki wakiwa wanagoja wateja huku mwenzao akiwa
anapata gazeti kupata taarifa mbali mbali kwenye mji wa Kia kama
walivyokutwa na kamera yetu wilayani Hai.
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia