RAIS KIKWETE ATEMBELEA ZANZIBAR KUTOA POLE KWA WALIOKUBWA NA MSIBA PAMOJA NA MAJERUHI
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitembelea Uwanja wa
Maisara, Zanzibar, ambako ndiko miili ya marehemu huletwa kwa utambuzi
baada ya kuokolewa kwenye eneo la ajali
Rais Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete
wakimpa pole Bi Salome Abeli, mmoja wa walionusurika katika ajali hiyo
ya meli. Yeye ni mfanyakazi wa Tanzania Automic Energy Commission
akitokea Arusha kwenda Pemba Kikazi.
| wananchi wa pemba wakiangalia picha za marehemu zilizobandikwa katika ubao wa matangazo |
Rais Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete
wakimsikiliza mmoja wa walionusurika katika ajali ya meli jana Bw
Kitwana Makama Haji ambaye kalazwa katika hospitali kuu ya Mnazi Mmoja.



0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia