MATUKIO MBALIMBALI YA KITAAA
Muendesha pikipiki huyo bila kufuata sheria za barabarani hapa akiwa amewapakiza wanafunzi watatu kama alivyokutwa na
kamera yetu kwenye Barabara ya Sokoine jijini Arusha
Hisiyo kibanda ni shell hapa powertielr likiweka mafuta kwenye shelli
hiyo mjini magugu serekali imetakiwa kuangalia kabla madhara hayajatokea
kwani inahatarisha usalama wa wananchi waliopembeni na shell bubu
hiyo(picha zote na Mahmoud Ahmad Arusha na Babati Vijijini)
kipindi hiki kwenye mji wa Magugu ni kipindi cha mavuno hawa kwenye
picha wakipeleka Mpunga Mashineni kama walivyokutwa na kamera yetu mjini
Magugu.
Hili ni soko la Ngarenaro Mjini magugu wachuzi na wanunuzi kama
wanavyoonekana pichani wakiendelea na biashara na wengine wakinunua
bidhaa kwa mahitaji ya nyumbani wananchi wameitaka Halmashauri
kuliendeleza soko hilo liwe la kisasa picha kama ilivyokutwa la kamera
yetu Magugu Wilayani Babati Vijijini
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia