WAKUTANA KUPANGA MPANGO KAZI WA BUNGE LA EAST AFRICAN
spika wa bunge la Afrika ya mashariki bi Magreti Nzziwa Nantongo akiwa
kwenye semina ya siku mbili ya kuandaa mpango kazi wa mwaka 2012-13 ya
bunge la Afrika ya mashariki kwenye Hoteli ya East African hotel jijini
| Mbunge wa bunge la afrika mashariki Shyrose Bhanji Akipitia kwa makini
makabrasha ya semina ya mpango kazi wa bunge la afrika ya mashariki leo
jijini arusha | |
Wabunge wa( Eala)wakiwa kwenye semina ya siku mbili ya kuwajengea uwezo
na kuanda mpango kazi wa mwaka 2013 kwenye hotel ya East African jijini
Arusha pichani ni mwakilishi na mbunge wa bunge hilo shyrose Bhanji
wakibadilishana mawazo kabla ya kuanza kwa semina hiyo
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia