Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Godbless Lema akiwa na
mbunge wa Arumeru Mashariki katika msafara mara baada ya mmbunge wa Arusha
mjini aliyefikishwa mahakamani leo kwa kosa la kusababisha fujo na kumkashifu
mkuu wa mkoa wa Arusha Magesa mulongo kuachiwa huru kwa dhamana
Wabunge hao wakisindikiswa kwa msafara wa wafuasi wa chadema wakipita nje ya jengo la mkuu wa mkoa
wafuasi wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema wakiwa nje ya ofisi ya chama hicho mkoa zilizopo katika mtaa wa ngarenaro jijini Arusha
Mbunge Joshua Nassari akiwa anaongea na waananchi katika uwanja wa shule ya msingi ngarenaro ambapo aliwasihi wananchi iwapo mkuu wa mkoa wa Arusha ata jirekebisha tabia yake basi kila watakapo muona wamzomee
Lema akiongea na wananchi katika uwanja wa shule ya msingi ngarenaro
Katibu wa chadema mkoa wa Arusha Amani Golugwa akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kufika katika ofisi za chama mkoa ambapo alimtaka mkurugenzi aitishe uchaguzi wa udiwani katika kata ya sombetini
Mbunge Joshua Nassari akiteta na waandishi wa habari
picha juu na chini mbunge lema akiongea na waandishi wa habari katika ofisi za chama mkoa