KUHAKIKI TAARIFA ZAO KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA
Tunawatangazia wananchi wote
waliojiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo wa BVR
katika mikoa ya:-
NJOMBE, IRINGA, MTWARA, LINDI, RUVUMA, KATAVI, RUKWA, MBEYA, DODOMA,
SINGIDA, TABORA, KIGOMA NA KAGERA
Kujitokeza ili
KUHAKIKI TAARIFA ZAO KATIKA DAFTARI LAKUDUMU LA MPIGA KURA
Ambalo lipo katika vituo
walipojiandikishia,
Kuanzia tarehe 01 Agosti 2015,
Kuanzia saa mbili (2:00) asubuhi mpaka saa kumi na mbili (12:00) jioni.
Mashine itakuwepo kituoni kwa
ajili ya kusahihisha makosa yaliyojitokeza wakati wa kujiandikisha.
Tangazo
hili limetolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi,