Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt Jakaya Kikwete katikati pichani
akiserebuka na wadau wa muziki na huku akipiga nao picha,ndani ya ukumbi
wa Mlimani City katika hafla ya kuagwa kwake ilioandaliwa na Muungano
wa Wasanii kwa ajili ya kumshukuru kwa namna alivyowasaidia tangu
alivyoingia madarakani kwa miaka 10 na pia kumtambulisha Mgombea wa
Urais wa chama cha CCM Dkt John Pombe Magufuli.
Mgombea
Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akipiga ngoma huku akishirikiana
na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akipiga gitaa ndani ya
ukumbi wa mlimani City jijini Dar.
Mwanadada Wema Sepetu akimtunza midola Dkt John Magufuli alipokuwa akipiga ngoma jukwaani kwa ustadi mkubwa.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt Jakaya Kikwete akiwa ameambatana
na Mgombea Urais wa chama cha CCM Dkt John Pombe Magufuli pamoja na
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana,Katibu wa NEC Itikadi na
Uuenezi Nape Nnauye na pamoja na Januari Makamba wakifurahia jambo kwa
pamoja na wageni waalikwa mbalimbali waliofika ndani ya ukumbi wa
Mlimani City kushiriki hafla ya kuagwa kwake ilioandaliwa na Muungano wa
Wasanii kwa ajili ya kumshukuru kwa namna alivyowasaidia tangu
alivyoingia madarakani kwa miaka 10.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt Jakaya Kikwete akiwa ameambatana
na Mgombea Urais wa chama cha CCM Dkt John Pombe Magufuli pamojoa na
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana (mwisho kushoto) na Mkuu wa
Wilaya ya Ilala Mh.Paul Makonda wakiwasili ndani ya ukumbi wa Mlimani
City kushiriki hafla ya kuagwa kwake ilioandaliwa na Muungano wa Wasanii
kwa ajili ya kumshukuru kwa namna alivyowasaidia tangu alivyoingia
madarakani kwa miaka 10.
Rais
Dr. Jakaya Kikwete akifurahia jambo na Mgombea Urais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli kupitia CCM wakati
alipowasili Mlimani City jijini Dar es salaam kwa ajili ya kushiriki
hafla ya chakula cha jioni kilichondaliwa na Muungano wa wasanii
Kumshukuru Mh. Dr. Jakaya Kikwete kwa jinsi alivyowasaidia katika
uongozi wake wa miaka 10 kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na
Kumkaribisha Mgombea wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr.
John Pombe Magufuli, Kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana pia
akishiriki tukio hilo.Hafla hiyo imehudhuriwa na wasanii mbalimbali
wakiwemo waigizaji wa filamu, wachezaji na wanamuziki wakishiriki kwa
pamoja kumshukuru Dk.Jakaya Kikwete.
Baadhi ya Wadau wa muziki wakifurahia jambo wakati Rais Dkt Jakaya Kikwete alipokuwa akiwasili ndani ya ukumbi wa Mlimani City.
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na baadhi ya wadau wa muziki nchini ndani ya ukumbi wa mlimani City usiku huu.
Dkt Jakaya Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa kampuni ya Vodacom,Kelvin Twisa
Dkt Kikwte akisalimiana na baadhi ya Wasanii wa muziki wa bongofleva
Rais
Jakaya Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam,Mh Said
Meck Sadick ndani ya ukumbi wa mlimani city usiku huu.
Mmoja wa wasanii akiimba jukwaani kwa hisia.
Baadhi ya Wanamuziki wakongwe walihudhuria hafla hiyo iliyofana kwa kiasi kikubwa.
Wanauziki
wakongwe pia walikuwepo kumshukuru Rais Kikwete kwa mambo mengi
aliyoyafanya katika uongozi wake wa miaka kumi ndani ya tasnia ya muziki
Mmoja wa wasanii akitumbuiza jukwaani usiku huu