Ticker

6/recent/ticker-posts

JKT MBWENI MABINGWA WAPYA WAVU.

Na Woinde Shizza,Arusha
TIMU ya JKTMbweni kutoka Dar es salaam
kwa  wanaume na wanawake zimefanikiwa kuchukuaubingwa wa wavu Tanzania
msimu wa 2015 baada ya kufanya vyema katika mashindanoya klabu bingwa
wavu  yalilomalizikajumamosi jijini hapa.Mashindanohayo yaliyoendeshwa
kwa mtindo wa ligi yalimalizika kwa timu kwa wanaume timuya Jkt Mbweni
kummaliza mashindano hayo ikiwa na jumla ya pointi 15,ikifuatiwana
timu ya Tanga ilijikusanyia jumla ya pointi 12,nafsi ya tatu
iliwaendea timuya Pentagone ya Arusha kwa pointi 9 ,huku Dodoma
wakipata jumla ya pointi 6,Karatu pointi 3 na timu ya Flowers ikikosa
pointi na kushika mkia.Maafande haowa JKT Mbweni pia kwa wanawake
walimaliza mashindano hayo wakiwa na pointi6wakifuatiwa na Tanga kwa
pointi 3  huku Dodomanao wakimaliza bila pointi.Michuanohiyo ya Klabu
Bingwa wavu  Tanzaniailichezwa kwa siku tatu katika viwanja vya sheikh
amri abeid pamoja na viwanjavya pentagone klabu huku ikiwa chini ya
chama cha wavu mkoa wa Arusha (AVA) Pamojana chama cha wavu Tanzania
(TAVA).Akifunga mashindanohayo  mgeni rasmi ambaye alimuwakilishamkuu
wa mkoa Arusha Mwanvita O. Okeng’o  ambaye ni afisa michezo mkoa
aliwasihi wachezembalimbali kuongeza juhudi katika kuhakikisha
wanahamasiha mchezo wa wavuunakuwa na wachezaji wenye uwezo wa hali ya
juu .Naye Makamomwenyekiti wa  chama cha wavu Tanzania(TAVA) Muharini
Mchume alieleza kuwa pamoja na kuwa timu sita pekee ndizozimechuana
vikali zimeweza kuonyesha ushindani wa kipekee kwani
zilionekanakuchuana vilivyo.“Mashindanoyamekwenda vizuri
natunawashukuru chama cha wavu Arusha  (AVA)kwa maandalizi makubwa
yaliyowezeshakufanyika kwa michuano hii vile vile shukrani kwa
wazamini mbalimbaliwaliojitokeza kutuunga mkono’alisema  Aliongezakuwa
mwenyekiti wa chama cha wavu Tanzania (TAVA) Augostino Hagapa
hakuweza kufika kutokana na kuteuliwa kuwa ‘MatchCommissioner” katika
mashindano ya wavu ya  All Africa Games yanayotarajiwa kuanza
mapemamwezi septemba nchini Congo,akimuwakilisha Rais wa shirikisho la
wavu Afrika.Aidha chamacha wwavu mkoa wa Arusha kimekabidhiwa mipira
mitatu na chama cha wavu Tanzaniavile vile kilimkabidhi mgeni rasmi
mpira mmoja kwa ajili ya mazoezi.  Mabingwa watetezi wa michuano hiyo
ya wavu 2014  timu yaMagereza kwa wanawake kutoka jijini Dar es salaam
pamoja na timu ya BOT yajijini Mwanza kwa wanaumenazo pia hazikuweza

Post a Comment

0 Comments