SOMA LOWASA ALICHOKIANDIKA BAADA YA PROF. LIPUMBA KUJIUZULU UKAWA


 Ninapenda kuwashukuru wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama changu, CHADEMA, kwa kunipitisha kwa kura zote kuwa mgombea wa Urais kupitia muungano wa vyama vyetu, UKAWA. Kiupekee kabisa napenda kumpa shukrani na pongezi mgombea mwenza, Juma Duni Haji Kwa kukubali majukumu haya makubwa ya kuelekea
mabadiliko makubwa pamoja na Mwenyekiti wetu, Freeman Mbowe kwa kusimama imara katika kipindi hiki kigumu. Nimewaambia wajumbe wa mkutano mkuu kuwa natambua kazi wanayofanya ni kubwa na wanajitolea, na kwa umoja wetu, tutafika kila jimbo na kufanya kampeni za kisayansi bila matusi na tutapata Ushindi wa Asubuhi Mapema. Asanteni sana kwa imani yenu kwangu.

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post