MGOMBEA UBUNGE MOSHI MJINI KUPITIA CHADEMA NA UKAWA AZINDUA KAMPENI ZAKE

Red Brigade akiimarisha ulinzi katika iwanja ya Dkt Slaa mjini Moshi wakati wa uzinduzi wa Kampeni za mgombea Ubunge wa jimbo la Moshi mjini ,Jafary Michael kupitia Chadema na Ukawa uliofanyika jana.
Baadhi ya viongozi na wagombea wa nafasi za Udiwani Kupitia Chadema na Ukawa.
Mbunge wa Jimbo la Moshi mjini ,Philemoni Ndesamburo(kushoto) akiteta jambo na  mgombea Ubunge katika jimbo hilo ,Jafary Michael kupitia Chadema na UKAWA wakati wa uzinduzi wa kampeni mjini Moshi
Umati wa wakazi wa mji wa Moshi waliofika katika mkutano huo wa Uzinduzi wa Kampeni.
Mbunge wa Vitimaalumu Chadema ,Lucy Owenya akizungumza katika mkutano huo.
Meneja wa kampeni wa mgombea ubunge katika jimbo la Moshi mjini,Raymond Mboya akisalimia katika mkutano huo.
Katibu wa Chadema mkoa wa Kilimanjaro,Basil Lema akitoa salamu za chama katika mkutano huo.
Umati wa wakazi wa Moshi katika mkutano huo.
Mbunge wa jimbo la Moshi mjini aliyemaliza muda wake,Philemoni Ndesamburo akizungumza katika mkutano huo.
Mbunge wa jimbo la Moshi mjini ,Philemoni Ndesamburo akimtamburisha kwa wapiga kura ,mrithi wake katika kinyang'anyiro cha kuwania nafai ya Ubunge katika jimbo la Moshi mjini,Jafary Michael aliyekuwa Meya wa manispaa hiyo.
Mgombea Ubunge katika jimbo la Moshi mjini,Jafary Michael akizungumza katika mkutano huo.
Mgombea Ubunge katika jimbo la Moshi mjini ,Jafary Michael akiomba kura mbele ya wapiga kura wakati wa uzunduzi wa kampeni katika jimbo la Moshi mjini.
Red brigade wakiimarisha ulinzi mbele ya jukwaa.

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post