Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dkt John Pombe Magufuli na Mgombea
Mwenza Mhe Samia Suluhu Hassan na wakilakiwa na Mwenyekiti wa CCM Dkt
Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wengine akipokewa katika ofisi ndogo
ya CCM Mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam baada ya kutoka Tume ya
Uchaguzi kuchukua Fomu za kugombea Urais leo agosti 4, 2015.