mgombea mwenza wa nafasi ya urais
Bi. Samia Suluhu akiwa anawahutubia wananchi wa mkoa wa Arusha katika viwanja vya Samunge vilivyopo jijini hapa
wananchi waliouthuria katika mkutano huo hii leo
mgombea mwenza wa nafasi ya urais akiwa anacheza ngoma iliyokuwa inapigwa na wamama wa chama cha mapinduzi waliouthuria mkutano huo
baadhi ya makada wa chama cha mapinduzi ambao wamewai kugombea nafasi ya ubunge wa jimbo la Arusha mjini wakashidwa kutokana na kura wakiwa ndani ya mkutano
mgombea mwenza wa nafasi ya urais
Bi. Samia Suluhu akiwa ana mnadi mgombea ubunge jimbo la Arusha mjini Philemon Mollel hii leo