Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan akilakiwa na
wananchi baada ya kuwasili Ofsi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro leo.
Mbombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCMSamia Suluhu Hassan, akimtazama mtoto,
alipokagua Kituo cha Afya cha Hedalu wilayani Same mkoani Kilimanjaro
leo
Mgombea
mwenza kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan akivishwa skafu na Kijana
wa CCM baada ya kuwasili Ofisi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro leo
Mama
Suluhu Hassan akisani kitabu baada ya kuwasili Ofisi ya CCM mkoa wa
Kilimanjaro. Kulia ni Mohammed Juma, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa
Kilimanjaro
Mama Samia Suluhu akiwasili uwanja wa mikutano Shule ya Msingi Hedalu
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan akiwahutubia
wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo katika Uwanja wa
Shule ya Msingi Hedaru, wilayani Same mkoani Kilimanjaro. Picha zote na
Bashir Nkoromo, Same.