Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,MUWSA,wakiwa katika kikao maalumu kwa ajili ya kuagana na aliyekuwa Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo. |
Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira mjini Moshi,MUWSA,Mhandisi ,Patrick Kibasa akizungumza katika kikao hicho. |
Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Majisafi na uSAFI WA Mazingira mjini Moshi,MUWSA. |
Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,MUWSA,wakiwa katika kikao hicho. |
Meneja Biashara wa MUWSA,John Ndetiko akitoa neon la shukrani katika kikao hicho. |