Mgombea
urais kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi, Dk. John Magufuli akikabidhi
hati ya Kiapo mapema leo mchana kwa Jaji wa Mahakama Kuu, Jaji Sekieti
Kihiyo (katikati). Hati ambayo kila mgombea wa nafasi ya urais anatakiwa
kusaini katika mahakama kuu jijini Dar es Salaam Kushoto ni Mgombea
Mwenza, Samia Suluhu Hassan.
Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi, Dk.
John Magufuli akisaini hati ya Kiapo mapema leo mchana Mahakama Kuu jijini
Dar es Salaam.Hati ambayo kila mgombea wa nafasi ya urais anatakiwa kusaini
katika mahakamani hapo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mgombea
Mwenza, Samia Suluhu Hassan.
Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi, Dk.
John Pombe Magufuli akipeana mkono na Jaji Sekieti Kihiyo mara baada ya
kusaini hati ya kiapo mapema leo mchana Mahakama Kuu jijini Dar es
Salaam.Hati ambayo kila mgombea wa nafasi ya urais anatakiwa kusaini katika
mahakamani hapo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mgombea Mwenza, Samia
Suluhu Hassan.
Baadhi ya
Waandishi wa habari wakiwa ndani ya moja ya chumba cha Mahakama Kuu
wakirekodi tukio la Mgombea Urais wa chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John
Pombe Magufuli sambamba na mgombea Mwenza,Samia Suluhu Hassan walipokuwa
wakisaini hati ya Kiapo mapema leo mchama Mahakamani Hapo mbele ya Jaji
Sekieti Kihiyo.
Mgombea urais wa chama cha Mapinduzi, Dk. John Pombe
Magufuli akizungumza na Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali nje ya
jengo la Mahakama Kuu mara baada ya kusaini hati ya Kiapo mapema leo
mchana.Hati hiyo kila mgombea wa nafasi ya urais anatakiwa kusaini
mahakamani hapo jijini Dar es Salaam. PICHA NA MICHUZI JR-MICHUZI MEDIA
GROUP.