Kiongozi
Mkuu wa Chama cha ATC Wazalendo Zitto Kabwe akiongea na Viongozi wa
Matawi ya jimbo la Urambo Mkoa wa Tabora wilaya ya Urambo katika Mkutano
Mkuu wa Jimbo la Urambo. (PICHA ZOTE NA KHAMISI
MUSSA)
Wanachama wakimsikiliza kiongozi
wao Mkuu.
Wanachama wakimsikiliza Kionozi wao
Mkuu kwa umakini mkubwa.
Katibu
Kata Urambo Kati, Mkulila Shabani akizungumza mbelea ya kiongozi Mkuu
wa chama na Viongozi wa Matawi ya jimbo la Urambo Mkoa wa Tabora wilaya
ya Urambo
Mwenyeti
Kata ya Kiloleni Tarafa ya Usoke, Wilaya ya Urambo Kati, Juma Kamagi
akizungumza mbelea ya kiongozi Mkuu wa chama na Viongozi wa Matawi ya
jimbo la Urambo Mkoa wa Tabora wilaya ya Urambo.
Kiongozi
Mkuu wa Chama cha ATC Wazalendo Zitto Kabwe akiongea na Viongozi wa
Matawi ya jimbo hayo.