Baadhi ya wananchi wakishuhudia ufunguzi rasmi wa Benki ya Mkombozi tawi la Moshi. |
Askofu wa jimbo Katoliki la Moshi ,Mhashamu Baba Askofu Isaac Amani akimwaga maji ya baraka katika jingo la Benki ya Mkombozi tawi la Moshi. |
Maeneo tofauti ya Benki hiyo kwa ndani. |
Askofu wa jimbo Katoliki la Moshi ,Mhashamu Baba Askofu Isaac Amani akizungumza wakati wa ufunguzi rasmi wa tawi jipya la Benki ya Mkombozi mjini Moshi |
Baadhi ya wafanyakzi wa Benki ya Mkombozi tawi la Moshi wakiwa katika sare maalumu wakati wa sherehe za uzinduzi wa tawi hilo . |
Wafanyakazi wa Benki ya Mkombozi tawi la Moshi wakionesha Nyuso za furaha baada ya tawi la Benki hiyo kufunguliwa rasmi . |
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Mkombozi ,Dkt Eve Hawa Sinare akizungumza wakati wa uzinduzi wa tawi hilo. |
Baadhi ya wageni waalikwa katika uzinduzi wa tawi la Benki ya Mkombozi mjini Moshi. |
Makamu Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Mkombozi,Method Kashonda akizungumza wakati wa ufunguzi wa Benki hiyo tawi la Moshi. |
Watawa kutoka Mashirika mbalimbali ya kitawa ya kanisa katoliki waliohudhuria ufunguzi wa tawi hilo mjini Moshi. |
Baadhi ya wanafunzi wa kituo cha Mafunzo Community Center wakifuatilia uzinduzi wa tawi la Benki ya Mkombozi. |
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Mkombozi ,Edwina Lupembe akizungumza katika sherehe ya ufunguzi wa Benki ya Mkombozi tawi la Moshi. |
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya Mkombozi tawi la Moshi. |
Askofu wa jimbo Katoliki la Moshi ,Mhashamu Baba Askofu Isaac Amani akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa tawi jipya la Benki ya Mkombozi mjini Moshi. |
Wafanyakazi wa Benki ya Mkombozi tawi la Moshi. |
Baba Askofu Isaac Aman akiweka pesa katika akaunti mara baada ya kufungua tawi la Benki hiyo mjini Moshi. |
Baadhi ya viongozi wa Benki hiyo tawil la Moshi. |
Wananchi waliofika kushuhudia ufunguzi wa tawil hilo wakiwa ndani ya Benki hiyo. |
Baba Askofu Isaac Amani akizungumza na waandishi wa habari, |
Mmoja wa wanafunzi wa kituo cha Community Center akionesha umahiri katika kucheza muziki katika sherehe ya ufunguzi wa tawi hilo. |
Wafanyakazi wa Benki hiyo wakiwa katika picha ya pamoja na Baba Askofu Isaac Aman mara baada ya kufungua tawi hilo mjini Moshi. |
Baba Askofu Isaac Amani akiwa katika picha ya pamoja na watawa. |
Mashine za ATM zilizoko katika Benki
hiyo. |