Mgombea Ubunge Jimbo la
Kigamboni kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) DK.Faustine
Ndugulile akihutubi Mkutano wa kampeni uliofanyika katika Uwanja wa
Mzim Kata Vijibweni Kigamboni Dar es Sallam (PICHA ZOTE NA
KHAMISI MUSSA).
Wananchi wakifurahia alipokuwa
akipanda jukwaani Mgombe ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi CCM
DK.Faustine Ndugulile
Wanacha wakimsikiliza kwa makini
Mgombea
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya
Temeke na Mjumbe Halmashauri kuu Mkoa, Yahaya Sikunjema (kulia)
akimkabidhi Ilani ya Chama hicho Mgombea nafasi ya Udiwani kupitia
Chama hicho Zacharia Mkundi katika mkutano wa kampeni
ulio fanyika Kata ya Vijibweni Dar es Sallam
Mwenyekiti CCM Wilayalaya ya
Temeke na Mjumbe Halmashauri kuu Mkoa, Yahaya Sikunjema
(kulia) akimnadi
Mgombea nafasi ya Udiwani kupitia Chama hicho Zacharia
Mkundi katika
mkutano wa kampeni ulio fanyika Kata ya Vijibweni Dar es Sallam
Mkundi akizungumza na
wananchi
Mgombea Ubunge Jimbo la
Kigamboni kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) DK.Faustine
Ndugulile akiwa anasindikizwa na wananchi na wanacha wa Chama hicho
Mgombea Ubunge Jimbo la
Kigamboni kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) DK.Faustine
Ndugulile akiwa anapanda jukwaani
Mwenyekiti wa CCM
Wilaya ya Temeke na Mjumbe Halmashauri kuu Mkoa,
Yahaya Sikunjema (kulia) akimnadi kwa
wanachi Mgombea Ubunge Jimbo la Kigamboni kupitia
Chama cha Mapinduzi (CCM) DK.Faustine Ndugulile
Wnanchi wakimsikia Mgombea
Ubunge kupitia Cha
Mgombea Ubunge Jimbo la
Kigamboni kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM) DK.Faustine Ndugulile
akizungumza na Wananchi na Wanachama wa chama hicho katika
uzinduzi wa kampeni Uwanja wa Mzima Kata ya Vijibweni Dar es
Salaam