WAZIRI LAZARO NYALANDU AHIMIZA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA UTALII.
Posted by
woinde
on
Friday, August 08, 2014
in
MATUKIO
utalii
|
|
- Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.
Lazaro Nyalandu akitoa maelezo ya kina kuhusu fursa
za uwekezaji katika tasnia ya utalii wa Tanzania wakati alipokuwa akiongea katika
Kongamano la kuvutia Uwekezaji nchini lililofanyika
Washington DC, Marekani.
|
|
- Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiongea katika
Kongamano la kuvutia Uwekezaji nchini lililofanyika Washington DC, Marekani.
|
|
- Kaimu Mkurugenzi Mwendeshaji wa Bodi
ya Utalii Tanzania Bi. Devota Mdachi akifafanua kwa kina
fursa za uwekezaji katika sekta ya utalii wakati alipokuwa akiongea katika
Kongamano la kuvutia Uwekezaji nchini lililofanyika Washington DC, Marekani.
|
|
- Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kituo cha
Uwekezaji nchini Bi. Julieth Kairuki akisisitiza
jambo wakati alipokuwa akiongea katika Kongamano la kuvutia Uwekezaji
nchini lililofanyika Washington DC, Marekani.
|
|
- Meza Kuu ya Wazungumzaji katika Kongamano
la kuvutia wawekezaji nchini lililofanyika Washington DC, Marekani. Kutoka Kushoto ni Mwezeshaji Bw. Kamran Khan; Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.
Lazaro Nyalandu; Waziri wa Uchukuzi Mhe. Harrison Mwakyembe; Kaimu Mkurugenzi
wa Bodi ya Utalii nchini Bi. Devota Mdachi na Uwekezaji nchini lililofanyika
|
|
- Rais Jakaya Kikwete ambaye alikuwa Mzungumzaji Mkuu katika Kongamano la kuvutia wawekezaji
nchini lililofanyika jana Washington DC, Marekani. Wengine pichani kutoka
kulia ni Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo, Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.
Lazaro Nyalandu na Balozi wa Marekani nchini
Tanzania Mhe. Mark Childress.
|
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia