Hii ni standi ya mabasi makubwa mjini Babati muonekano ambao upo kwa sasa ambapo watu wengi wanalalamikia standi hiyo nakusema kuwa imekuwa ni kero kwakuwa inajaa maji sana mpaka wakati mungine inafikia hatua watu uwanashindwa kwenda kupanda mabasi namabasi hayaingii ndani kutokana na mvua |
|