MGOMBEA UBUNGE CHADEMA ATEMBELEA SOKO LA TENGERU

 Mgombea ubunge wa jimbo la Arumeru kupitia tiketi ya chama cha demokrasi na maendeleo Chadema Joshua Nassari atembelea soko la Tengeru leo hapo alikuwa anaongea na wafanya biashara mbalimbali sokoni
 apa alikuwa amejichanganya akiwa anaangalia bidhaa mbalimbali
 naombeni kura bwana mimi ndo nagombea kwa tiketi ya Chadema mimi ndo Joshua Nassari mwenyewe
 Wakati mgombea huyu akiwa anatembea katika soko hilo la Tengeru libeneke liliwakuta wakina mama wakiwa wanaendelea kufanya biashara zao sokoni hapo
 Mama huyu pia alikutwa akiendelea kusuka kamba ambapo libeneke lilishuhudia bidhaa hizi  hizi ambazo zinatengenezea kamba hizi kuwa ni vyandalua vyetu ambavyo vinazuia mbu na serekali yetu imekuwa ikiwahimiza watu watumie kwa ajili ya kuzuia mbu lakini mama huyu amekiuka na yeye anatumia kwa ajili ya kusukia kamba ambazo wanatumia kwa matumizi ya kuanikia nguo pamoja na kufungia mifugo ikiwemo ng'ombe na mbuzi



Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post