Waziri wa nishati na madini William Ngeleja,Katikati akibonyeza kitufe
kuashiria uzinduzi wa baraza la wafanyakazi sekta ya madini (TMAA)
,kulia ni mtendaji mkuu wa TMAA,Mhandisi Paulo Masanja,kushoto ni
mwenyekiti wa bodi wa TMAA,Dkt. Lyamungu Kayandabila
Waziri wa Nishati na madini,William Ngeleja akimkabidhi mtendaji mkuu wa
TMAA ,mhandisi Paulo Masanja ,mkataba wa kuanzisha baraza la
wafanyakazi la TMAA kama ishara ya kuzinduliwa kwa baraza hilo