Wananchi wa Mirongoine pamoja na wamoshono wakiwa na mabango yao mbele ya ofisi ya mkuu wa mkoa leo wakati walipoandamana
Mmoja wa kiongozi wa wananchi hao walioandamana hadi kwa mkuu wamkoa wa
Arusha aliyejulikana kwa jina la Emanuel Masamaki akiwa anatoa
malalamiko yao mbele ya mkuu wa mkoa wa Arusha Magessa Mulongo pamoja na
mkuu wa wilaya ya Arusha hivi leo.
waandishi wa habari waliouthuria maandamano hayo wakiwa wameketi chini wakiwa wako makini kuandika habari kuhusiana na maandamano hayo