Home No title bywoinde -Monday, March 12, 2012 0 Mpaka kieleweke mchezaji wa timu ya Jkt Oljoro akijaribu kuchukuwa mpira kwa wachezaji wa timu ya Toto Afrika katika mechi ambayo ilichezwa katika uwanja wa kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid jijini hapa na ambapo timu hiyo ilitoka droo ya 1-1 Facebook Twitter