Wagombea ubunge wakiwa wanatoka katika chumba cha kupigia kura kwa pamoja wakwanza kushoto ni muheshimiwa Sioi Sumary na wapili kulia ni Wiliam Sarakya
Mgombea ubunge wa CCM Sioi Sumary akiwa anasalimiana na mpiga kura wake aliyetambulika kwa jina moja la palanjo mara baada ya kumaliza kupiga kura
Wanachama wa CCM waliojitokeza kupiga kura kumchagua mgombea ubunge chama wakiwa wamekaa chini wakisubiri matokeo