mshindi wa kura za maoni CCM Sioi Sumary akiwa na mgombea mwenzake wiliam
Sarakikya wakati wakisubiri mshindi wa kura za maoni kutajwa.
mshabiki wa wagombea hawa aliyejulikana kama palanjo akiwa anawafariji wagombea kabla ya matokeo kutajwa
Makamu Mwenyekiti na CCM na Spika mstaafu Mh.Pius Msekwa akiwa na John Chiligati katika kamati kuu
wananchama wakitaka kumbeba wakati akienda kutoa mikono kwa meza kuu
hongera Sioi njoo tukubebe
mbunge wa viti maalumu Mery chatanda akimpokea mshindi wa kura za maoni
huku akiwazuia wananchama kufata mshindi huyo sehemu ambayo meza kuu
viongozi walikuwa wamekaa
sioi akiwa amesimama na wiliam wakati walipojitokeza mbele kutoa shukurani zao kwa wanachama waliojitokeza kuwapigia kura
sioi akiota shukrani kwa wanachama waliompigia kura
jamani tumemaliza kazi tuliagizwa tufanye tunastaili kupongezana
ndefoooo umeshamaliza kazi jamani
asanteni jamani naomba tuwe wote kwenye kampeni sasa alisema maneno hayo sioi wakati akiwa anawaaga wafuasi wake