MSANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA "LANGA" AFARIKI DUNIA BABA YAKE MZAZI ATHIBITISHA

Ikiwa ni siku chache baada ya kuondokewa na mpendwa wetu Albert Mangwea, tasinia ya Muziki wa kizazi kipya imepata pigo jingine kubwa kwa kuondokewa na msanii wa Hip Hop anaejulikana kwa jina la Langa Kileo.

Habari kutoka Leotainment TZ imeeleza kuwa kifo cha msanii Langa kimetokea leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili ambapo chanzo kimeelezwa kuwa marehemu alipata maralia. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Amina.

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post