Kala Jeremiah akikabidhi tuzo yake kwa mama mzazi wa Albert Mangweha, Bi. Denisia Mangweha.
Kala, ndugu wa marehemu Ngwea na alioambatana nao wakiwa kwenye gari kuelekea makaburini.
KALA Jeremiah akisalimiana na mama yake Albert Mangweha baada ya kumkabidhi Tuzo hiyo kwa niaba ya mwanae, kulia ni Afande Sele |
Mama
mzazi wa marehemu Albert Mangweha akiwa ameshikilia tuzo aliyopewa kwa
niaba ya mwanae, tuzo hii aliipata msanii Kala Jeremiah kwenye tuzo za
Kilimanjaro ikiwa kama tuzo ya msanii bora ya Hip -Hop 2013-14. Source