Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Geita Gold Mine Omar Issa, Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Kampuni ya bia ya Serengeti Mzee Mark Bomani na Mkurugenzi wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi TACAIDS Fatma Mrisho, wakiwa katika picha ya pamoja na maafisa wa TACAIDS kutoka kulia ni Jumanne Issango Mkurugenzi wa Uraghibishi, Beng’i Issa Mkurugenzi wa Fedha na Utawala na Moriss Lekule Mkurugenzi wa Mwitikio wa Taifa hafla hii ilifadhiliwa na Geita Gold Mine.
Kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi TACAIDS Fatma Mrisho, Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Kampuni ya bia ya Serengeti Mzee Mark Bomani na Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Geita Gold Mine Omar Issa wakimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 15,000,000 Sister Adalbera Mukure wa Mkurugenzi wa Kituo cha Kulelea watoto yatima cha Moyo wa Huruma cha Geita wakati wa hafla maalum ya kukabidhi fedha hizo kwa mashirika mablimbali yanayopambana na ugonjwa wa ukimwi iliyofanyika Ijumaa kwenye hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es salaam fedha hizo zinakusanywa Mgodi wa Dhahabu ya Geita Gold Mine na washirika wake kwa kupanda mlima Kilimanjaro
Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Geita Gold Mine Omar Issa, Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Kampuni ya bia ya Serengeti Mzee Mark Bomani na Mkurugenzi wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi TACAIDS Fatma Mrisho, wakiwa katika picha ya pamoja na maafisa wa TACAIDS kutoka kulia ni Jumanne Issango Mkurugenzi wa Uraghibishi, Beng’i Issa Mkurugenzi wa Fedha na Utawala na Moriss Lekule Mkurugenzi wa Mwitikio wa Taifa hafla hii ilifadhiliwa na Geita Gold Mine.
Picha na Fatma Fernandes wa libeneke la kaskazini blog mwanza
|
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia