Mama mmoja
mkazi wa kijiji cha kisaba kata ya maisome wilaya ya sengerema mkoani mwanza BI Resituta kalembo {32} amejifungua
mtoto wa ajabu akiwa na maumbile ya sehemu mbili kichwa kikiwa kinafanana na
nyani na sehemu zingine kama binadamu wa kawaida.
Kwa mjibu wa mashuhuda wa tukio hilo akiwemo mmoja wa familia hiyo BW Benedikito Bulusha alisema kuwa sgangazi yake huyo BI Resituta kalembo amejifungua mtoto huyo juni 3mwaka huu majila ya saa11jioni kijijini hapo
Amesema kuwa baada ya kujifungua mtoto huyo shangazi yake hakusikia mtoto akilia na alipomuangalia na kukuta amejifungua mtoto waajabu akiwa amefariki dunia
Bi Resituta alipoulizwa na waandishi wa habari juu ya tukio hilo ameki KUJIFUNGUA MTOTO huyo akiwa na maumbile ya sehemu mbili akiwaamefariki ambapo macho yake yalikuwa katikati ya paji la uso huku kichwa kikiwa na manyoya na umbile lake la nyani huku maumbile mengine yote ni kama binadamu.

Diwani wa kata ya Maisome BW. Tanzania Mazabari amekili kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa amejionea tukio hilo ambapo ni l
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia