Langa enzi za uhai wake |
Baba wa marehemu Mzee Kileo amesema kuwa mtoto wake Langa kwenye picha
amefariki dunia leo majira ya saa 10 katika hospitali ya Taifa
Muhimbili.
Taarifa kamili na mipango ya mazishi zitatolewa pale vikao vya
familia vitakapofanywa.Pia baba yake alisema msiba huu umetokea wakati
mama yake Langa hayupo Tanzania,alisema kwa sasa mama yake Langa yupo
Marekani lakini baada ya kupewa taarifa hizo tayari ameshakata tiketi ya
kurudi Tanzania na ataanza safari kesho.Msiba uko nyumbani kwao maeneo
ya Mikocheni
#RIP Aarif!
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia