UCHAGUZI WA UDIWANI ARUSHA WAPAMBA MOTO

LEO hii ni tarehe 16  ni siku uchaguzi wa madiwani unafanyika sehemu mbalimbali katika jimbo la Arusha mini kata nne zinafanya chaguzi ambazo ni Themi ,Elerai ,Kaloleni na kata ya Kimandolu,sasa wadau wa blog ya jamii ya libeneke la kaskazini endeleeni kuperuzi kupata yanayojiri katika sehemu hizo pamoja na matokeo ya uchaguzi bila kusahau mwendelezo wa tukio la  bomu lililorushwa katika mkutano wa chadema jana

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post