CCM YAONGOZA KATA YA MAKUYUNI WILAYANI MONDULI

CHAMA CHA MAPINDUZI CCM  KINAONGOZA KATIKA UCHAGUZI WA UDIWANI KATIKA KATA YA MAKUNI MARA BAADA YA KUPATA KURA 1543 HUKU CHADEMA WAKIWA WAMEPATA KURA  360 NA KWA UPANDE WA KURA  ZILIZOARIBIKA 17

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post