Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea jijini Singapore leo wakati
alipokutana na wafanyabaishara za ujenzi wa nchi hiyo marav tu baada ya
kutua kutoka Japan alikokuweko kwa ziara ingine ya kikazi. Katika
mkutano huu Rais Kikwete aliwakaribisha wafanyabishara hao wa Singapore
Tanzania kuwekeza katika sekta ya nyumba wakati wa chakula cha jioni
kilichiandaliwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Bw. Laurence Bay, Mkurugenzi
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Singapore. Kushoto ni Balozi wa
Tanzania India na Singapre Injinia John Kijazi na mbele yao ni Naibu
Mkurugenzi wa Itifaki wa Singapore Bi. Christine Tay.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Kasulu mjini Mhe
Moses Machali pamoja na wadau wengine wakati akiwasili Singapore.
PICHA NA IKULU