SWAHILI MOVIE CHANNEL YAZINDULIWA JIJINI ARUSHA



Warembo walikuwepo kupamba show nzima ya Zuku Swahili Channel
Waigizaji wa kundi maarufu la jijini Arusha wakila pozi 
Waratibu wakiweka mambo sawa
Wadau hawakuwa nyuma kujua Zuku imewaleta mambo gani mapya
Wadau wa tasnia ya filamu wakisikiliza kwa makini
Meneja Mkuu wa Zuku Tanzania,Fadhili Mwasyeba akimwaga sera juu ya ubora wa king'amuzi  katika mpango wa Zuku Pay TV
King Majuto(kati)akiteta jambo na Maria Sarungi wakati wa uzinduzi katika hoteli ya Naura Spring jijini Arusha
King Majuto hakuacha vituko kama kawaida yake
Kama kawaida yake wadau walikua hoi kwa vicheko vya mkongwe wa sanaa ya vichekesho 

 


 Waandisi wa habari wakiwa wanasikiliza kwa makini jinsi Zuku waliyoboresha huduma zao na kuleta zuku swaihili movie chanel














Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post