MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman
Mbowe, akiwa pamoja na baadhi ya viongozi, wanachama na wapenzi wa chama
hicho wakipata chakula cha mchana kwa kutafuna samaki wadogo waitwao
'Njuju', kando ya kivuko cha Mto Kilombero, walipokuwa njiani kutoka
kwenye mkutano wa kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani Kijiji cha
Kivukoni, Kata ya Minepa, wakisubiri kuvuka kwenda mkutano mwingine wa
kampeni Kata ya Ifakara, mkoani Morogoro.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
RELATED POSTS
0
Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia